Tanzania
ina ugeni mzito wiki hii.
Muigizaji mashuhuri wa filamu, Will Smith amekuja nchini
kwaajili ya mapumziko. Staa huyo wa Suicide Squad, yupo kwenye mbuga ya wanyama
ya Serengeti akifurahi uumbaji wa Mungu.
Mastaa wa Marekani, Will Smith
na Chanel Iman wakiwa na wenzao kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti
Hata hivyo imebainika kuwa Smith si staa pekee wa Marekani
aliyepo Tanzania. Supermodel wa Marekani, Chanel Iman naye amejumuika.
Mrembo
huyo amekuja na boyfriend wake.
Kwenye Instagram, amepost picha akiwa na Will
Smith mbugani Serengeti na kuandika: Great places with great friends and Will
is One of the coolest.”
Kuna uwezekano kuwa wote wamekuja kwenye
msafara mmoja.
No comments:
Post a Comment