MAKAMPUNI ZAIDI YA NANE YA KITANZANIA YAZIDI KUNADI UTALII WA UWINDAJI NCHINI MAREKANI,DKT.NDUMBARO AYAAHIDI MAKUBWA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, January 21, 2022

MAKAMPUNI ZAIDI YA NANE YA KITANZANIA YAZIDI KUNADI UTALII WA UWINDAJI NCHINI MAREKANI,DKT.NDUMBARO AYAAHIDI MAKUBWA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza wakiwasili katika ukumbi wa Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika leo katika Jiji la Las Vegas, Nevada nchini Marekani. Wengine ni Wajumbe aliombatana nao kutoka kutoka Tanzania.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza wakiwa Ujumbe waliombatana nao wakizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Detail Companya Adventures, Gary Quinn ambaye ni miongoni mmiliki wa vitalu vya uwindaji nchini Tanzania aliyeshiriki katika Maonesho yanayofanyika wakati wa Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika leo katika Jiji la Las Vegas, Nevada nchini Marekani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (wan ne kulia) Wakiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza (wa tatu kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Kilombero North Safaris, Zidane Janbecks (wan ne kushoto) mara baada ya kutembelea banda la Maonesho wakati wa Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika leo katika Jiji la Las Vegas, Nevada nchini Marekani. Wengine ni Wajumbe.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na Kaimu Kamishna Uhifadhi wa TAWA, Mabula Misungwi wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Robin Hurt Safari, Luke Kellog ambaye ni miongoni mwa mmiliki wa vitalu vya uwindaji nchini Tanzania aliyeshiriki katika Maonesho yanayofanyika wakati wa Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika leo katika Jiji la Las Vegas, Nevada nchini Marekani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Kilombero North Safaris, Zidane Janbecks mara baada ya kutembelea banda la Maonesho wakati wa Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika leo katika Jiji la Las Vegas, Nevada nchini Marekani. Wengine ni Wajumbe aliombatana nao kutoka kutoka Tanzania.
 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kutoka Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na mmiliki wa Kampuni ya uwindaji wa Kitalii ya Michel Mantheakis Safaris Ltd, Bw. Michel Mantheakis (wa tatu kulia) ambaye ni mmiliki wa vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini Tanzania, ikiwa ni miongoni mwa Makampuni nane kutoka Tanzania yaliyoshiriki katika mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi leo katika Jiji la Las Vegas, Nevada nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages