Rais Mhe Samia apokea taarifa Taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, August 17, 2023

Rais Mhe Samia apokea taarifa Taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga wakati alipowasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha Mpango Kabambe wa Taifa wa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (2022-2032) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023. Mpango Kabambe huo umeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga mara baada ya kuwasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi hiyo, Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages