Wizara ya Afya kuendelea kushirikiana na shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, August 16, 2023

Wizara ya Afya kuendelea kushirikiana na shirika la Afya Ulimwenguni (WHO)

Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akimkabidhi zawadi ya kitabu cha Zanzibar Mwakilishi Mkaazi mpya wa Shirika la Afya ulimwenguni nchini Tanzania Dr Charles Sagoe-Moses alipofika wizarani kwa kujitambulisha.
Mwakilishi Mkaazi mpya wa Shirika la Afya ulimwenguni nchini Tanzania Dr Charles Sagoe-Moses akimkabidhi Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui alipofika wizarani kwa kujitambulisha.
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkaazi mpya wa Shirika la Afya ulimwenguni nchini Tanzania Dr Charles Sagoe-Moses na watendaji wa Wizara ya Afya huko Mnazimmoja Zanzibar


WIZARA ya Afya Zanzibar imesema itaendeleza mashirikiano yake na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO katika kuimarisha huduma za Afya hapa nchini.

Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amesema hayo huko ofisini kwake wakati alipomkaribisha Mwakilishi Mkaazi mpya wa Shirika la Afya ulimwenguni nchini Tanzania alipofika kwa kujitambulisha.

Amesema WHO inafanya kazi kubwa hapa nchini ya kuhakikisha kuwa wanapambana na magonjwa mbali mbali yakiwemo yakuambukiza na yasioambukiza pamoja na kuwajengea uwezo wafanyakazi wake

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages