RAIS DK. SHEIN AFANYA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA DIMANI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, May 8, 2018

RAIS DK. SHEIN AFANYA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA DIMANI

DSC_4664
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Waziri Kiongozi Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kijitoupelei Mhe.Shamsi Vuai Nahodha,(kulia) akifuata Mwenyekiti wa Wilaya ya Dimani CCM Hussein Mjema (kimti) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,wakiimba wa Mashujaa Wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa mabaalozi Wilaya ya Dimani uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
DSC_4832
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe.Mohamed Rajab na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
DSC_4785
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Mhe.Hussein Mjema (kimti) alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkoa wa Mahgaribi Kichama katika mkutano wa Mabalozi, Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Maskani wa Wilaya hiyo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo, mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
DSC_4798
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala, alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mkutano wa Mabalozi, Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dimani uliofanyika leo  katika Ukumbi wa CCM Amani- Mkoa.
DSC_04770
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani  baada ya kusomwa na Balozi Mwanakheri Iddi Ramadhan (kulia)katika  mkutano wa Viongozi Mashina (Mabalozi), Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM  katika Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo katika  Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa.
DSC_4683
Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wakiimba   Wimbo wa Mashujaa “Sisi Sote Tumegomboka” katika Mkutano wa  Mabalozi wa Wilaya ya Dimani  CCM Mkoa wa Magharibi (Kichama) uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM- Amani Mkoa  mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
DSC_4698
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa  wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina, Wenyeviti wa Matawi na Mkatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dinami Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo.
DSC_4704
DSC_04721
DSC_4725
Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika Mkutano wa  kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages