RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI PEMBA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, June 8, 2018

RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI PEMBA

DSC_1226
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani katika futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Eneo hilo jana akiwa katika utaratibu wa kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba
DSC_1234
Wananchi wa Jimbomla Mkanyageni wakisubi wakati wa Swala ya Magharibi jana katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba.
DSC_1237
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Viongozi na Wananchi wa Mkanyageni katika Swala ya Mgaharibi kabla ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa Eneo hilo  katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kufutarisha kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
DSC_1247
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali katika Futari aliyoiandaa kwa Wananchi wa Mkanyageni   katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
DSC_1249
Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Jimbo la Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkowa Kusini Pemba wakiwa katika Futari iliyoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
DSC_1265
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na Viongozi Wanawake katika Futari iliyoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Bi.Mauwa Abeid Daftari  na Mshauri wa  Rais Mambo ya Jamii Bi Zainab Omar Mohamed.
DSC_1274
Sheikh Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa shukurani na kuomba dua kwa niaba ya  Wananchi wa Jimbo la Mkanyageni jana baada ya Futari uiliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa ni utaratibu wake wa kuwafutarisha Wananchi wa Jimbo hilo kila mwaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
DSC_1282
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi mara baada ya kumalizika kwa futari  aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkanyageni jana katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani ikiwa ni  utaratibu wake wa  kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kila ifikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
DSC_1358
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika futari  aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkanyageni jana katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani ikiwa ni  utaratibu wake wa  kuwafutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba kila ifikapo Mwezi Mtukufu wa Ramadhan(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemedi Suleiman (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages