DKT.MPANGO AMTEMBELEA NAIBU WAZIRI DKT.FESTO DUGANGE HOSPITALINI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, April 29, 2023

DKT.MPANGO AMTEMBELEA NAIBU WAZIRI DKT.FESTO DUGANGE HOSPITALINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kumjulia hali baada ya kupata ajali ya gari.

Dkt. Dugange alipata ajali usiku wa tarehe 26 Aprili 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages