GRACA MACHEL AFUNGA MKUTANO WA MAENDELEO KWA WANAWAKE, KIUCHUMI NA JAMII (WOMEN ADVANCE IN AFRICA) - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, August 12, 2017

GRACA MACHEL AFUNGA MKUTANO WA MAENDELEO KWA WANAWAKE, KIUCHUMI NA JAMII (WOMEN ADVANCE IN AFRICA)

Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca Machel akihutubia wakati wa kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.

Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Mama Graca Machel akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Zamani Nchini, Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.

Baadhi ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali Walioshiriki Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza jambo na Mwanaharakati wa siku nyingi Getrude Mongela wakati wa Kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.

Baadhi ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali Walioshiriki Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages