Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, October 17, 2017

Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC yashika kasi

Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Upendo Njogolo  (kushoto), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Zakhem Dar es Salaam, kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Evansia Kassuma (katikati), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Zakhem, Mbagala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana, kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
Waendesha bodaboda wa eneo la Kimara, Dar es Salaam wakimsikiliza Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Upendo Njogolo  (kushoto), wakati akizungumza nao kuhusu kampeni inayoendelea ya akaunti za Malengo ya benki hiyo. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiangalia wacheza shoo wakati wa kampeni inayoendelea ya akaunti ya Malengo ya Benki ya NBC. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itashuhudia washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.
Kampeni ya akaunti ya Malengo ya NBC pia ilifikishwa hadi katika kijiwe cha muuza kahawa huyu ambako walijulishwa fursa wanazoweza kuzipata kiuchumi wakifungua akaunti ya Malengo ya NBC ambayo licha ya kujishindia zawadi mbalimbali lakini pia hakuna gharama za kila mwezi za kuendeshea akaunti hiyo hivyo kuwezesha akiba zao kukua.
Wachuuzi wa mboga mboga nao wakisikiliza kwa makini jinsi wanavyoweza kubadisha maisha yao kiuchumi mara watakapojiunga na akaunti aya Malengo ya NBC. Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC inafanyika nchini kote ambapo washindi sita wakijishindia kila mmoja gari aina ya Suzuki Carry ‘kirikuu’ huku wengine 24 wakishinda pesa taslimu shs milioni 1 kila mmoja.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages