Baadhi
ya wafanyakazi na wanafamilia wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), wakiwavuta
wenzao ili kumpata mshindi katika mchezo wa kuvuta kamba katika
sherehe za Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwawani mjini
Tanga hivi karibuni.
Mtifuano
wa kutafuta mshindi katika mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa
keki maalumu ya kusherehekea siku ya wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja
wa Mkwakwani mjini Tanga.
Meneja
Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (kushoto),
akishikana mikono na mmoja wa wanafamilia wa Tanga Cement.
Meneja
Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (kushoto),
akikabidhi zawadi kwa baadhi ya wafanyakazi na familia zao waliohudhuria
sherehe hizo.
Meneja
Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Mtanga Noor
(kushoto), akizungumza na wafanyakazi na wanafamilia wa kampuni hiyo katika
sherehe za Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwakwani mjini
Tanga.
Meneja
Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (kushoto),
akizungumza na wafanyakazi na wanafamilia wa kampuni hiyo katika sherehe za
Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
No comments:
Post a Comment