Mchungaji
Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack
Asajile(kulia),akigawa vyakula na mahitaji mengine muhimu yakibinadamu
kwa wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi katika misa maalum
iliyokwenda kwa jina la tuwape chakula wale, iliyoanza rasmi leo
kanisani hapo na itakuwa ni ibada endelevu ya Utoaji wa Vyakula,
mitaji,nguo na pesa kwa watu wasio na uwezo itakayokuwa ikifanyika
kanisani hapo.
Baadhi
ya akina mama wakitoka kanisani baada yakupokea msaada wa vyakula
uliotolewa na Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival
Assemblies Of God,Isaack Asajile.
Baadhi
ya walemavu wa macho wakiwa nje ya kanisa baada ya kupokea msaada wa
vyakula uliotolewa na Mchungaji Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel
Revival Assemblies Of God,Isaack Asajile.
Mchungaji
Kiongozi Askofu wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,Isaack
Asajile (kulia) akizungumza jambo pamoja na waumini na viongozi wa
kanisa hilo katika hafla Endelevu ya Utoaji wa Vyakula, mitaji,nguo na
pesa kwa watu wasio na uwezo iliyofanyika kanisani hapo maeneo ya Banana
Ukonga jijini Da es Salaam leo.
Baadhi
ya Watumishi wa Kanisa la Gospel Revival Assemblies Of God,wakisaidia
zoezo la ugawaji wa vyakula kwa wakazi wa Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment