Watu 4 wafariki baada ya gari aina ya Toyota Noah kugongana na Lori Kilimanjaro - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, November 12, 2017

Watu 4 wafariki baada ya gari aina ya Toyota Noah kugongana na Lori Kilimanjaro

Watu wanne wamedaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magari mawili Toyota Noah na Lori la maji kugongana katika maeneo ya Kikafu, Sadala mkoani Kilimanjaro.




Ajali hiyo mbaya inadaiwa kutokea mchana wa leo ambayo imesababishwa na Lori hilo lililokuwa likijaribu kulipita gari la mbele, na kisha kukutana uso kwa uso na gari hilo ndogo iliyokuwa imebeba abiria ikitokea mjini Moshi ikielekea Sanya Juu.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages