DK HARRISON MWAKYEMBE AWAPONGEZA WAANDAAJI WA BRAZUKAKIBENKI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, December 18, 2017

DK HARRISON MWAKYEMBE AWAPONGEZA WAANDAAJI WA BRAZUKAKIBENKI

Waziri wa Habari sanaa utamaduni na michezo  Dk   Harrison Mwakyembe (kushoto),Akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya soka ya Diamond Trust Benki (DTB), David Kikambako  baada ya timu hiyo kuibuka kidedea kwakuichakaza  timu ya benki ya Exim kwa mikwaju ya penati  katika mchezo wa fainali ya ligi ya mabenki iliyopewa jina la brazuka kibenki, wa katikati ni Mratibu na Muanzilishi wa ligi hiyo Nasikiwa Berya.
Waziri wa Habari sanaa utamaduni na michezo  Dk   Harrison Mwakyembe  akishangilia pamoja na wachezaji wa benki hiyo kushoto kwa Waziri ni Mratibu na Muanzilishi wa ligi hiyo Nasikiwa Berya.


Wachezaji wa DTB wakifurahia ushindi huku wamembeba kocha wao Michael Lugalela
 Timu ya Exim ambayo imeshika nafasi ya pili katika michuano hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja wakionesha zawadi zao

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages