Sunday, February 11, 2018

Home
KITAIFA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama Cha Walimu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama Cha Walimu Zanzibar leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATU Mussa Omar
Tafurwa, alipowasili katika viwanja vya Wizara habari kuhudhuria ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa viongozi wa meza kuu wakiimba wimbo wa wafanyakazi wa solidariti
foreva wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Walimu Zanzibar
uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwahutubia Walimu wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha
Walimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
Kikwajuni Zanzibar wakati wa ufunguzi huo

BAADHI ya Walimu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua
mkutano wa Sita uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Waalikwa wa Vyama Rafiki wa Vyama wa Walimu walioalikwa
kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakifuatilia mkutano huo
wakati wa ufunguzi wake uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la
wawakilishi kikwajuni

KAIMU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia ni Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama
cha Walimu Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo
RAIS w Chama cha Walimu Zanzibar Seif Mohammed akisoma risala ya Chama
hicho wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho wakati wa
ufunguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar
BAADHI ya Walimu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua
mkutano wa Sita uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
kikwajuni Zanzibar
BAADHI ya Walimu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua
mkutano wa Sita uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Walimu Zanzibar
baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho uliofanyika katika
ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Kisiwandui wakicheza ngoma ya mwanandege
wakati wa ufunguzi huo wa mkutano mkuu wa chama cha walimu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Walimu Uganda Tumuhimbise
Zadock, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu
Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Chama cha Walimu kutoka (DLF) Flemming
Sorrensen, baada ya hafla ya uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu
Zanzibar
BAADHI ya Walimu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua
mkutano wa Sita uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha picha ya
sura yake aliokabidhiwa zawadi na Chama cha Walimu Zanzibar wakati wa hafla ya
Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Bara. Leiya Ulaya,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar
Tags
# KITAIFA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
Tamasha la Sauti za Busara Lavutia Wengi Zanzibar. Kikundi Kutoka Rwanda Kikitowa Burudani ya Ngoma za Asili ya Nchi yao Katika Viwanja Vya Forodhani.
Older Article
Rc Makonda azisimamisha shughuli zote za mabaraza ya kata Mkoa wa Dar es Salaam
BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA MWENYEKITI WA WABUNGE WA CCM
Hassani MakeroApr 12, 2025Zanzibar Afya Week yazinduliwa Dar es Salaam
Hassani MakeroApr 11, 2025TASAC YAPOKEA BOTI YA ‘AMBULANCE’ KWA AJILI YA SHUGHULI ZA UOKOAJI
Hassani MakeroApr 11, 2025
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment