Afisa Muuguzi Kiongozi Idara ya dharula Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, Halima Mhina (kushoto ) na Afisa Muuguzi katika Hospitali hiyo, Agnes Simoni wakikabidhiwa na Meneja wa KCB tawi la Lumumba Kariakoo Miogopea Kubiha (kushoto) msaada wa vifaa tiba, Mashine ya kufyonza uchafu wa vimiminika puani na mdomoni kwa njia ya hewa(Suction Machines) pamoja na machine za kupimia mtoto akiwa tumboni ilikujua hali yake Kama Yu hai au la.
KCB tawi la Lumumba Kariakoo Miogopea Kubiha (kushoto) msaada wa vifaa tiba, Mashine ya kufyonza uchafu wa vimiminika puani na mdomoni kwa njia ya hewa(Suction Machines) pamoja na machine za kupimia mtoto akiwa tumboni ilikujua hali yake Kama Yu hai au la.
Akiongea na WorÓut Media'wakati wa makabidhiano hayo amesema Hospitali hiyo inauhitaji wa Mashine Kama hizo zaidi ya tano hivyo Kampuni nyingine zinaalikwa kupelaka msaada kama. katika Hospitali hiyo ili kuweza kuwahudumia wagojwa was dharula kwa ufanisi.
I just couldn't leave your website before telling you that I truly enjoyed the top quality info you present to your visitors? Will be back again frequently to check up on new posts.
ReplyDeleteBp machine
Welcome again ramiz, if you have story to tell people your humbly welcome to use our platform by sending email to us through revbrsosytz@gmail.com
Delete