Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa hudumma kwa kutumia ndege maalumu kwa ajili ya wagonjwa bila ya malipo.
Uturuki ndio tiafa pekee ambalo limeripotiwa kutoa huduma kwa kutumia ndege maalumu kwa ajili ya wagonjwa bila ya malipo katika maaneo ambayo wanagonjwa wnaahitaji huduma haraka na kwa dharura.
Uturuki katika kipindi cha miezi minne imewahudumia wagonjwa takribani 453 kwa kutumia ndege maalumu na wagonjwa 211 kwa ndege nyingine ambayo ilikuwa na vifaa maalumu kwa ajili ya huduma maalumu.
Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Twitter, Fahrettin Koca amefahamisha kuwa huduma kuptia ndege maalumu imetolewa tnagu mwaka 2008 nchini Uturuki.
Katika ujumbe wake huo, waziri wa afya wa Uturuki amesema kwamba Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa huduma hiyo kwa wagonjwa bila ya malipo.
Amemalizia katika ujumbe wake kuwa kwa wale wanaoamini kuwa huduma kama hizo hutolewa katika filamu, wanatakiwa kuamini kuwa Uturuki inafanya hivyo tangu mwaka 2008.
No comments:
Post a Comment