Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Mfanyakazi wa reli akioga kutokana na joto kali, muda mfupi baada ya Serikali ya Pakistan kulegeza masharti ya kukaa ndani kutokana na Corona mjini Karachi Mei 19, mwaka huu. (Picha na REUTERS).
Wanafunzi wakiwa katika tahadhari dhidi ya virusi vya Corona huku wakipata chakula cha mchana katika Shule ya Daejeon nchini Korea Kusini. (Picha na AFP).Mwanamke aliyekutwa akiwa juzi amewakinga watoto wake wasipigwe na jua wakati akiendelea kusubiria treni na wafanyakazi wenzake wahamiaji zikiwemo familia zao kurejea nyumbani kutoka jijini New Delhi, India baada ya Serikali kulegeza amri ya kukaa ndani ikiwa ni hatua ya kujiadhari dhidi ya virusi vya Corona (COVID-19).(Picha na AFP).Watu wakiwa wamesimama katika foleni Kitongoji cha Laudium mjini Pretoria, Afrika Kusini juzi kwenda kupokea chakula cha msaada katika kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19). (Picha na REUTERS).Maafisa wa Kikosi cha Zimamoto mjini Kashmiri wakishirikiana kuzima moto katika moja ya jengo lilorushwa guruneti wakati wa mabishano ya risasi baina ya vikosi vya Jeshi la India na wanamgambo katika eneo la Srinagar, Kashmir, India, May 19, mwaka huu. (Picha na EPA-EFE).
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
No comments:
Post a Comment