BENKI YA NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, June 17, 2020

BENKI YA NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimwelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (wapili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia ni Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa na Meneja wa Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (wapili kulia).

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages