MAMA SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA CCM TEMEKE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, June 23, 2020

MAMA SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA CCM TEMEKE



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa CCM na Wananchi,  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na DJ Mwanaidi Adinan Msuya wa Kikundi cha Peramiho Music Sound  alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Temeke Jijini Dar es  Salaam leo Juni 23,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Temeke Jijini Dar es  Salaam  leo Juni 23,2020.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages