CHANIKA SASA MAMBO NI MOTO KADA WA CCM JESSICA MOTTO KUWANIA UDUWANI KATA YA BUYUNI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, July 14, 2020

CHANIKA SASA MAMBO NI MOTO KADA WA CCM JESSICA MOTTO KUWANIA UDUWANI KATA YA BUYUNI


Katibu Kata wa Chama cha Mapinduzi CCM kata ya Buyuni Chanika, Juma Mnambiya akikabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Udiwani kata ya buyuni kwa bi Jessica Motto, wakati wa siku maalum zilizotangazwa na mamlaka husika kuchukua fomu  kwaajili yakugombea nafasi mbalimbali makabidhiani hayo yamefanyika leo katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo chanika Dar es Salaam anaeshuhudia (kulia), ni mume wa Jessica, Bw Meckson Motto.
Kada kindakindaki wa CCM Jessica Motto  leo Jumanne Julai 14, akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kumteuwa  kugombea nafasi  ya Udiwani katika kata ya Buyuni Chanika Dar es Salaam.
Jessica Motto akitia saini kwenye daftari la wageni
Kada kindakindaki wa CCM Jessica Motto  akionesha fomu yake mara baada yakukabidhiwa
Katibu Kata wa Chama cha Mapinduzi CCM kata ya Buyuni Chanika, Juma Mnambiya akitoa maelekezo ya jinsi yakujaza fomu hiyo.
Jessica Motto  akiwa katika picha ya pamoja na familia yake baada yakuchukua fomu ya kuwania  nafasi ya udiwani kata ya Buyuni Chanika 
akiwa na fomu yake


No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages