MAKAMU wa Rais SAMIA ashiriki BARAZA la EID mkoa wa KASKAZINI UNGUJA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, July 31, 2020

MAKAMU wa Rais SAMIA ashiriki BARAZA la EID mkoa wa KASKAZINI UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa ambae pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia   CCM Dkt. Hussein Mwinyi, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, pamoja na Viongozi MbaliMbali wakiangalia Maulid nje ya ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo Julai 31, 2020 katika ukumbi wa Mitihani wa Shule ya Sekondari Bumbwini Wilaya ya Kaskazini (B) Mkoa wa Kaskazini Unguja.

1 comment:

  1. A very good and informative article indeed.It helps me a lot to enhance my knowledge.I really like the way the writer presented his views.I hope to see more informative and useful articles in future. disposable masks full face cover hat umbrella bougerv

    ReplyDelete

Sharing Buttons

Pages