Makamu
wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akiwasalimia baadhi ya maofisa wa
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), katika hafla ambayo NBC ilimkabidhi msaada wa
vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs 29,200,000 kumalizia ujenzi wa madarasa
manne ya Shule ya Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja
na maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, jana, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani
Zanzibar. Kutoka kushoto ni, Mkuu wa Huduma za Kibenki Kitengo cha Kiislamu wa
NBC Zanzibar, Mohamed Nuh, Meneja Mahusiano Serikalini wa NBC
Tanzania, William Kallaghe, Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso na
Ofisa Mauzo, Mussa Waziri.
Makamu
wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia), amkimsikiliza Meneja
Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), William Kallaghe
baada ya kupokea msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs 29,200,000
vilivyotolewa na NBC kumalizia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya Awali ya
Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na maadhimisho ya Siku ya
Kizimkazi, jana, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Kushoto ni Meneja wa
NBC Tawi la Zanzibar,Ramadhani Lesso na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki
za Kiislamu wa benki hiyo Tawi la Zanzibar, Mohamed Nuh.
Makamu
wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akipokea moja ya vifaa vya ujenzi
kutoka kwa Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),
William Kallaghe (wa tatu kushoto), vyenye thamani ya shs 29,200,000
vilivyotolewa na benki hiyo kumalizia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya
Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na maadhimisho ya
Siku ya Kizimkazi, jana, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Kutoka
kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani Lesso na Mkuu wa Kitengo
cha Huduma za Kibenki za Kiislamu katika tawi hilo, Mohamed Nuh.
Makamu
wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akipokea shukurani maalumu kutoka
NBC kupitia kwa kwa Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki hiyo, William Kallaghe
mara baada ya kupokea msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs
29,200,000 vilivyotolewa na benki hiyo kusaidia ujenzi wa madarasa manne ya
Shule ya Awali ya Kizimkazi Mkunguni katika hafla iliyofanyika pamoja na
maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, jana, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani
Zanzibar. Wanaongfalia kushoto ni Meneja wa NBC Tawi la Zanzibar, Ramadhani
Lesso na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki za Kiislamu katika tawi
hilo, Mohamed Nuh.




No comments:
Post a Comment