AfDB YAMWAGA NEEMA KIGOMA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, September 30, 2020

AfDB YAMWAGA NEEMA KIGOMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akisalimiana na watumishi wanaofanya kazi katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi. alipowasili katika kituo hicho kwa ziara ya kikazi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na wasafiri wanaokwenda Burundi na Uganda wanaosubiri taratibu za uhamiaji katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na Afisa Uhamiaji katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi.
Kaimu Meneja wa Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga akisoma taarifa kuhusu utendaji wa Kituo hicho.
Ujumbe uliongozana na Balozi Ibuge wakisaini Kitabu cha Wageni katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi.
Malori yakiwa katika foleni ya kusubiri ukaguzi kutoka maafisa wa Burundi ili yaendelee na safari.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge na ujumbe wake wakiwa mpakani mwa Tanzania na Burundi kwenye eneo la Kabanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na Burundi.




No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages