Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) William Kallaghe (Kushoto) akimpokea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (wapili kulia) mara baada ya kuwasili kwenye Banda la Benki hiyo Katika Maonyesho ya Madini Mjini Geita. (Wakwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel.
Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) William Kallaghe (Kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel kwenye Banda la Benki hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akiwasalimu watumishi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) waliojipanga kumlaki mara baada ya Mkuu huyo wa Mkoa kuwasili kwenye Banda lao.
Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) William Kallaghe (Kushoto aliyenyoosha mkono) akimpitisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuona shughuli mbalimbali ndani ya Banda la Benki hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akitia saini kwenye kitabu maalum mara baada ya kupokelewa na kukaribishwa na viongozi mbalimbali na watumishi wa Benki hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), William Kallaghe (wa kwanza kulia aliyevaa suti) mara baada ya kutia saini kitabu Cha wageni. (Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel).
Meneja Mahusiano Serikalini wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) William Kallaghe (wakwanza kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (Kushoto kwake) kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Benki hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (mwenye Shati ya kitenge) akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza kutembelea Mabanda mbalimbali kwenye Maonyesho ya Madini Mjini Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza kutembelea Mabanda mbalimbali kwenye Maonyesho ya Madini Mjini Geita.















No comments:
Post a Comment