Wananchi Wa Musoma Wasogezewa Huduma Na Vodacom Tanzania PLC - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, September 14, 2020

Wananchi Wa Musoma Wasogezewa Huduma Na Vodacom Tanzania PLC

Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vincent Anney Naano (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom lililopo Musoma mjini. Wengine kutoka kushoto ni Msimamizi wa Duka hilo, Cosmas Mseti, Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali , Meneja mauzo mwandamizi Vodacom kanda ya Ziwa, Viktoria Chale.
Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vincent Anney Naano akipata huduma toka kwa mtoa huduma wa duka jipya la Vodacom lililopo Musoma mjini.
 
Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vincent Anney Naano  (kushoto) akipata maelezo ya bidhaa mbalimbali zilizopo duka jipya la Vodacom wilayani humo toka kwa Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali mara baada ya uzinduzi wa duka hilo.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages