MKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM AJISHINDIA GARI JIPYA KWENYE PROMOSHENI YA VODACOM SHANGWE SHANGWENA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, December 21, 2020

MKAZI WA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM AJISHINDIA GARI JIPYA KWENYE PROMOSHENI YA VODACOM SHANGWE SHANGWENA

Mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mkazi wa Kigamboni akifungua mlango wa gari mpya aina ya Renault KWID aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Anayeshuhudia kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Sarah Msafiri.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Sarah Msafiri (mbele kulia) akimpongeza mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mara baada ya kukabidhiwa gari yake. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen, mke wa mshindi, Anna Makundi (katikati) na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Sarah Msafiri akionyesha funguo kwa wananchi waliojitokeza kushuhudia makabidhiano ya gari kwa mshindi wa promosheni ya Shangwe Shangwena, Peter John.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages