Tamasha La Twenzetu Kwa Yesu Lapata Mwitikio Mkubwa Kwa Vijana - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, December 19, 2020

Tamasha La Twenzetu Kwa Yesu Lapata Mwitikio Mkubwa Kwa Vijana



Vijana wakimwimbia Mungu kwenye Tamasha la Twenzetu kwa Yesu litalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Upendo Media Obed Kikao akitangaza matukio yanayoendelea katika Tamasha la Twenzetu kwa Yesu litalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa dini na watendaji wa KKKT wakiwa katika nyuso za Tabasamu wakati kufatilia matukio mbalimbali kwenye Tamasha la Twenzetu kwa Yesu litalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Vijana wa Rungu ya Yesu wakichana mistari ya kumuimbia Mungu kwa miondoko ya Hi pop katika Tamasha la Twenzetu kwa Yesu lililofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dkt.Alex Malasusa wa katika waliokaa mbele akishuhudia matukio mbalimbali ya Tamasha la Twenzetu kwa Yesu lililofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambalo limekutanisha maelefu ya vijana kupata elimu ya Dunia katika kujitambua pamoja na kumtukuza Mungu kwa vitendo kuweza kufunguliwa. Tamasha hilo ni Mara ya Saba kufanyika kwa kukusanya vijana wengi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages