RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA BWELEO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, February 5, 2021

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK. HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA BWELEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo. (Picha na Ikulu)
WAUMININ wa Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waumini wa Kiislam wakifuatilia mawaidha yakitolewa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalib Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika msikiti huo leo 5-2-2021, na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Kijiji cha Bweleo alipowasili katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages