
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi jezi zitakazo tumika katika msimu mpya wa 2021/22 katika ligi ya nyumbani na michuano ya klabu bingwa Afrika.
Klabu ya Yanga itakuwa na aina 10 ya jezi kuelekea msimu ujao ikiwemo jezi ya kimataifa na sare maalum za kusafiria.
Aliewahi kuwa msemaji wa Simba SC Haji Manara akizungumza wakati wa uzinduzi wa jezi mpya ya timu ya yanga mara maada ya jana kutangazwa kujiunga na timu hiyo

No comments:
Post a Comment