MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA ASAS AFARIKI DUNIA! - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, August 13, 2021

MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA ASAS AFARIKI DUNIA!


Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar es Salaam, na familia yake imeomba waombolezaji wasiende nyumbani na atazikwa hii leo katika Makaburi ya Kisutu.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya familia ya ASAS imeeleza kwamba, njia ya teknolojia za habari itumike katika kutoa pole na shughuli zingine za msiba na si kukusanyika nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages