SOKO LA DHAHABU MBOGWE LAWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, August 20, 2021

SOKO LA DHAHABU MBOGWE LAWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO


Na Saimon Mghendi, Mbogwe | Imeelezwa kuwa kuwepo kwa soko la madini ya dhahabu katika mkoa wa kimadini wa Mbogwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, limeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya madini hayo hususa ni kuwawezesha wachimbaji wadogo kupata sehemu ya huakika ya kuzia madini yao jambo ambalo limepelekea wachimbaji hao kunufaika Zaidi Pamoja na serekali kupata kipato.

Mwenyekiti wa soko Joseph Sinda amefafanua hayo jana wakati akiongea na waandishi wa Habari ofisini kwake na kuongeza kuwa wafanyabiashara wa madini wanaipongeza serekali kwa kuanzisha mfumo wa masoko ya kuuzia madini nchini.

Aidha Mwenyekit huyo wa soko amesema kuwa soko la madini la Mbogwe linawastani wa kununua madini kilo mbili mpaka mpaka tatu kwa siku.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages