Tanzia : WAZIRI WA ULINZI NA JKT - MBUNGE WA USHETU ELIAS KWANDIKWA AFARIKI DUNIA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, August 2, 2021

Tanzia : WAZIRI WA ULINZI NA JKT - MBUNGE WA USHETU ELIAS KWANDIKWA AFARIKI DUNIA


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga amefariki dunia leo Jumatatu Agosti 2, 2021 wakati akiendelea kupata matibabu Jijini Dar es salaam.

Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa amethibitisha taarifa hizi akisema "Nimepokea taarifa za msiba huu mzito kutoka uongozi wa CCM wilaya ya Kahama, Mpendwa wetu alikuwa anaendelea na matibabu jijini Dar es salaam".


Taarifa zaidi tutawataarifu.


R.I.P Elias Kwandikwa

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages