Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akionesha Kadi kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi. Kadi hiyo atapatiwa Mwananchi aliyepata Chanjo ya COVID 19 kwa gharama ya shilingi 20,000/- mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja.
WAZIRI wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadi, ambayo atapatiwa mwananchi ambae aliyepata chanjo ya COVID- 19, kadi hiyo itakua inaizwa kwa shilingi elfu 20,000/ za Kitanzania.
WAZIRI wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadi, ambayo atapatiwa mwananchi ambae aliyepata chanjo ya COVID- 19, kadi hiyo itakua inaizwa kwa shilingi elfu 20,000/ za Kitanzania. (Picha na Abdalla Omar)
No comments:
Post a Comment