AZAM, PYRAMIDS ZATOSHANA NGUVU - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, October 16, 2021

AZAM, PYRAMIDS ZATOSHANA NGUVU


Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM | KIKOSI cha Azam FC leo wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Pyramids katika mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Hata hivyo katika mchezo huo ambao matokeo yamekuwa Sare yanawapa wakat mgumu Azam.

Hata hivyo kikosi cha Azam kitakuwa ugenini katika mchezo wa marudiano Oktoba 23 nchini Misri.

Hata hivyo kikosi cha Azam ambacho kipo chini ya kocha George Lwandamina ikihitaji ushindi au sare ya mabao ugenini ili kusonga mbele.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages