BENKI YA CRDB YANOGESHA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WAMILIKI WA SHULE BINAFSI NCHINI (TAPIE) - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, October 28, 2021

BENKI YA CRDB YANOGESHA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WAMILIKI WA SHULE BINAFSI NCHINI (TAPIE)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA) kwa udhamini wa Benki ya CRDB, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Blue Sapphire, Mbezi Beach, Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akipokea zawadi ya Keki kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA), Mahmoud Mringo ikiwa ni sehemu ya shukrani zao kwake kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA), uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Blue Sapphire, Mbezi Beach, Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Albert Katagira.
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA), Mahmoud Mringo akizungumza wakati akitoa salamu za Chama chao kwa mgeni rasmi, katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA) uliodhamini na Benki ya CRDB na kufanyika kwenye Ukumbi wa Blue Sapphire, Mbezi Beach, Dar es salaam.
Mkuu wa kitengo cha Huduma za Uwakala wa Benki ya CRDB, Erick Willy akiwasilisha mada katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA) uliodhamini na Benki ya CRDB na kufanyika kwenye Ukumbi wa Blue Sapphire, Mbezi Beach, Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages