MAMLAKA YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Wednesday, November 10, 2021

demo-image

MAMLAKA YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI

WhatsApp-Image-2021-11-10-at-9.44.53-AM
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya akielezea kuhusu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro.
WhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.03.29-PM-1 WhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.03.29-PM
Kamishna Msaidizi wa kinga na huduma za Kijamii kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya akitoa mada kuhusu Dawa za kulevya na Madhara yake.Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro.
WhatsApp-Image-2021-11-10-at-10.01.33-AM
Mwanahabari Bw.Benny Mwanantala akichangia mada katika mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu kupambana na kuzuia matumzi ya madawa ya kulevya yaliyofanyika mkoani Morogoro.
WhatsApp-Image-2021-11-10-at-10.02.34-AM
Mafunzo yakiendeleaWhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.03.29-PM-2WhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.52.13-PMMafunzo yakiendeleaWhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.03.29-PM-3 WhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.03.29-PM-4 WhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.03.29-PM-5 WhatsApp-Image-2021-11-10-at-9.44.53-AM-2
Mafunzo yakiendeleaWhatsApp-Image-2021-11-10-at-10.01.33-AM-1
Waandishi wa habari mbalimbali wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambapo Mafunzo hayo yamelenga namna walivyojipanga kupambana na kudhibiti Matumizi ya Madawa ya Kulevya. Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro.
WhatsApp-Image-2021-11-10-at-12.29.50-PM 
Shuhuda ambaye anadai aliwahi kuwa muathirika wa dawa za kulevya Bw.Ahmed Khatibu akielezea namna alivyopoteza matumaini mara baada ya kutumia dawa za kulevya na kuua ndoto zake.Ametoa ushuhuda huo leo mkoani Morogoro mbele ya waandishi wa habari. (PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *