- Kioo aina ya AMOLED inch 6.7fhd+
- Mediatek Helio G96
- 30X Zoom Lens
- 120Hz
- Camera tatu nyuma na Megapixel 64 camera kuu.
Wednesday, November 10, 2021

Home
BIASHARA
SIMU YA KWANZA YA Infinix YENYE AMOLED DISPLAY NA PROCESSOR SPEED G96 KUZINDULIWA NOVEMBA 11
SIMU YA KWANZA YA Infinix YENYE AMOLED DISPLAY NA PROCESSOR SPEED G96 KUZINDULIWA NOVEMBA 11
KAMPUNI ya simu Infinix imekuwa kileleni kwenye biashara ya simu tangu kuzinduliwa kwake Tanzania. kupitia simu za Infinix tumeona teknolojia mpya na hii inapelekea kuwa na shahuku kubwa tangu Infinix kuanza kutupia mtandaoni simu aina ya Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro na kudai hizi ndio simu za kwanza za toleo la NOTE kuja na sifa hizi;
Kulingana na ukurasa wa @infinixmobiletz Infinix kwa kushirikiana na Tigo Tanzania kuzindua Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro Novemba 11 na watakuwa live kupitia kurasa zao za Instagram.
Bei ya simu hizi mbili bado kufahamika lakini inasadikia huenda bei ya Infinix NOTE 11 ikawa Tsh.470,000 na Infinix NOTE 11 pro Tsh.600,000 za Kitanzania. Kaa tayari kupokea mzigo mpya kutoka Infinix lakini pia unaweza tembelea https://www.infinixmobility.com/
Tags
# BIASHARA
Share This
About Hassani Makero
Hassani Makero is a Wor'Out Media Country Manager located at Unguja-Zanzibar, Tanzania performing all technical issues concerning of Media Broadcasting activities, Satellites, and FM and Television equipments supplier.
Aside from that, Hassani Makero is also a Writer, Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 10 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs.
Aside from all above he own and operate his Blog known as Wor’Out Media since 2014.
Newer Article
HOSPITALI YA WILAYA TUNDURU NA MDH WATUMIA MOBILE CLINIC KUIBUA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU
Older Article
RAIS SAMIA AELEKEA NCHINI MISRI KWA ZIARA YA SIKU 3
Taasisi za Ulinzi wa Mlaji zimetakiwa kushirikiana na FCC
Hassani MakeroMar 21, 2025Safari ya Mafanikio ya NHC na Miaka Minne ya Mafanikio ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassani
Hassani MakeroMar 20, 2025Absa Group Reports 10% Increase in 2024 Earnings after Material Second-Half Recovery
Hassani MakeroMar 11, 2025
Labels:
BIASHARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment