UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, November 27, 2021

UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA NGORONGORO


Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi, Mlezi wa Mkoa wa Arusha na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka Leo Amezindua Rasmi Kampeni za Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro na Kumnadi mgombea Ubunge jimbo la Ngoro Ngoro kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai.

Aidha Ndg. Shaka aliongozana na viongozi mbalimbali wa Chama kutoka Makao Makuu ya CCM Taifa wakiongozwa na Katibu wa Nec, Idara ya Organaizeshen Dkt. Maudline Castico Uwanja wa Malambo, Kata ya Malambo, Tarafa ya Sale.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages