Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein leo Jumapili 12 Disemba 2021, ameongoza kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Afisi Kuu ya CCM Kiswandui Zanzibar.
Pamoja viongozi wengine kikao hicho pia kimehudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Hussein Ali Mwinyi.



No comments:
Post a Comment