RAIS MWINYI AMTEMBELA MZEE HASSAN OMAR MZEE - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, December 24, 2021

RAIS MWINYI AMTEMBELA MZEE HASSAN OMAR MZEE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kumjulia hali Mzee Hassan Omar Mzee alipofika Kituo cha Afya Kibweni Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi. (Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri (katikati) mara baada ya kumjulia hali Mzee Hassan Omar Mzee aliyelazwa katika Kituo cha Afya Kibweni Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) L.Kamanda Mwashamba Mbarouk Salum.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages