WAFANYAKAZI WA NYANZA BOTTLERS LTD WAFURAHIA UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI NA COCA-COLA' - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Monday, December 6, 2021

WAFANYAKAZI WA NYANZA BOTTLERS LTD WAFURAHIA UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI NA COCA-COLA'

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya Nyanza Bottling Ltd (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ uliofanyika mkoani Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto) pamoja Meneja wa Mauzo na Masoko wa Nyanza Bottling Ltd, Samwel Makenge (kulia) wakizungumza na wafanyakazi wa kampuni ya Nyanza Bottling Ltd wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ uliofanyika mkoani Mwanza. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Nyanza Bottling Ltd wakifurahia nyakati mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ uliofanyika mkoani Mwanza mwishoni mwa wiki iliyopita. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages