WAZIRI JAMALI KASSIM AMEFANYA ZIARA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, December 22, 2021

WAZIRI JAMALI KASSIM AMEFANYA ZIARA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali, akielezea kuhusu tatizo lilokuwepo katika eneo la Mizigo Bandari ya Mlindi Zanzibar, kwa kuwepo Makontena ya Lami muda Mrefu wakati alipofanya ziara Bandarini hapo.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Rahma Kassim Ali, wakiwa katika ziara ya pamoja katika Bandari ya Malindi Zanzibar na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Jamal Kassim Ali, kuangalia uwepo wa Makontena ya lami yalokuwepo muda mrefu bandarini hapo.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Rahma Kassim Ali, akielezea changamoto zilizopo katika eneo la Mizigo, kwa kuwepo Makontena ya lami kwa muda mrefu katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar.
Muonekano wa Makontena ya lami yaliyopo Bandari ya Malindi Zanzibar kwa muda Mrefu. PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages