Chongolo Afungua Kikao Kazi Cha Walimu Wakuu Wa Shule Za Jumuiya Ya Wazazi - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Friday, January 14, 2022

Chongolo Afungua Kikao Kazi Cha Walimu Wakuu Wa Shule Za Jumuiya Ya Wazazi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Walimu Wakuu na Wahasibu wa Shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na Adam Mzee)

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi (Zanzibar) Ndugu Othman A. Maulid akitoa salaam za shukrani mara baada ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Walimu Wakuu na Wahasibu wa Shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na Adam Mzee)
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Ndugu Gilbert Kalima akizungumza wakati wa Kikao Kazi cha Walimu Wakuu na Wahasibu wa Shule za Sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na Adam Mzee)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages