Davido aagiza gari la kifahari lenye thamani ya Bilioni 1.27 za kitanzania - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, January 20, 2022

Davido aagiza gari la kifahari lenye thamani ya Bilioni 1.27 za kitanzania

Davido anazidi kuonesha jeuri ya Pesa baada ya kuonesha umma kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba ameliagiza gari jipya aina ya Lamborghini.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa staa huyo amesema kuwa gari hilo linathamani ya dola za kimarekani Laki 5 ambazo ni sawa Bilioni 1.27 za kitanzania.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages