GEREZA KIHONDA LAUNGA MKONO JUHUDI UJENZI NYUMBA YA ASKARI GEREZA LA WANAWAKE KINGOLWIRA KWA KUWAPATIA MIFUKO 10 YA SARUJI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Saturday, January 15, 2022

GEREZA KIHONDA LAUNGA MKONO JUHUDI UJENZI NYUMBA YA ASKARI GEREZA LA WANAWAKE KINGOLWIRA KWA KUWAPATIA MIFUKO 10 YA SARUJI

Mkuu wa Gereza Kihonda, SP. Lucas Mboje (kushoto) akikabidhi msaada wa mifuko ya saruji 10 kwa Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP. Hanipher Kiangi kwa ajili ujenzi unaoendelea wa nyumba ya askari katika Gereza la Wanawake Kingolwira, mkoani Morogoro ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za uongozi wa Gereza hilo katika kuboresha makazi ya askari.
Mkuu wa Gereza Kihonda, SP. Lucas Mboje(kushoto) leo Januari akiwa na Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP. Hanipher Kiangi kabla ya kukabidhi mifuko ya saruji 10 kwa ajili ujenzi unaoendelea wa nyumba ya askari katika Gereza la Wanawake Kingolwira, mkoani Morogoro ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za uongozi wa Gereza hilo katika kuboresha makazi ya askari.
Ujenzi wa nyumba ya askari Gereza la Wanawake Kingolwira lililopo mkoani Morogoro ikiwa katika hatua za awali za ujenzi kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages