KATIBU MKUU MARY MAKONDO AKAGUA UJENZI MAJENGO YA OFISI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Tuesday, January 18, 2022

KATIBU MKUU MARY MAKONDO AKAGUA UJENZI MAJENGO YA OFISI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akikagua ujenzi wa jengo la Wizara hiyo unaoendelea katika eneo la Mtumba jijini Dodoma.

Wakati wa ukaguzi huo Katibu Mkuu huyo amepongeza juhudi na kasi ya ujenzi na kumtaka Mkandarasi ambaye ni SUMA JKT kuhakikisha inakamilika kwa wakati huku akiwataka TBA ambao ni Mshauri Mwelekezi kuhakikisha kazi inafanyika kwa kuzingatia viwango na ubora unaohitajika.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages