RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA HIVI KARIBUNI - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Wednesday, January 5, 2022

RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA HIVI KARIBUNI

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao pamoja na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao (kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao .
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipozungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa kuagana nao na kupata maagizo katika utekelezaji wa kazi zao. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages