RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHI ZA FALME ZA KIARABU - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Sunday, January 16, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHI ZA FALME ZA KIARABU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani,wakati akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu kwa ziara ya Kikazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi . [Picha na Ikulu] 16 jan 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na wasaidizi wake katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi akifuatana na Mkewe Mama Marium Mwinyi. [Picha na Ikulu] 16 jan 2022

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages