RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKUU WA JKT IKULU ZANZIBAR - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, January 13, 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKUU WA JKT IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika leo 13-1-2022 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Uongozi wa JKT kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele, wakati akimkabidhi Kalenda ikiwa na picha za Wakuu wa JKT, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 13-1-2022. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages