WAZIRI NDALICHAKO AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TUCTA JIJINI DAR ES SALAAM - Wor'Out Media

Wor'Out Media is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.

Breaking

Thursday, January 27, 2022

WAZIRI NDALICHAKO AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TUCTA JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiimba pamoja na Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wimbo wa Mshikamano wa Wafanyakazi “Solidarity Forever” wakati wa ziara yake hiyo aliyoifanya Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (aliyekaa katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA). Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi.

No comments:

Post a Comment

Sharing Buttons

Pages